OMOC
 

VIRAL HEPATITIS

MR. MKUMBWA DANIEL DAUDI (MD 5, UDOM)

Viral Hepatitis is the inflammation of the liver which is caused by the viral infections. This disease affects majority of people in the community due to lack of awareness to the people about this disease. The chronicity of symptoms differs from one patient to another as there are cases where a patient may be asymptomatic, hence makes it difficult to be detected at earlier stages. The main types of the viruses that cause hepatitis are type A, B, C, D and E. These five types are of greatest concern because they cause severe form of illness and can cause death. Also the above types have the potential risk to cause outbreak and an epidemic spread.

FAHAMU ZAIDI KUHUSU VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)

MR. ADAM F. ZUBERI

Virusi vya corona (coronavirus) ni kundi la virusi vinavyoweza kusababisha magonjwa kwa wanyama (mamalia na ndege) lakini pia kwa binadamu. Inaaminiwa ni virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia. Virusi vya corona vipo katika makundi makubwa manne, yakiwemo SARS, MERS, COVID-19 na NCOV.

JE NI LINI MTOTO HUANZA KUCHEZA TUMBONI KWA MAMA MJAMZITO

MR. ADAM F. ZUBERI

Kwa kawaida mtoto huanza kucheza kwa mara ya kwanza ,kuanzia wiki ya 16 hadi wiki ya 25 katika kipindi cha ujauzito,Kama ni ujauzito wa kwanza inawezekana usimsikie hadi ikikaribia wiki ya 25.Ujauzito wa pili ,mama huanza kumsikia mtoto akicheza mapema kuanzia wiki ya wiki 13.

DID YOU KNOW?

MR. MKUMBWA DANIEL DAUDI (MD 5, UDOM)

Did you know that non communicable diseases NCDs are estimated to account for 33% of all deaths in Tanzania?
According to WHO report of 2018 with the title non communicable diseases country profiles, the report shows that in 2016 the total population was 55,572,000 and the total deaths on the same year was 409 000.
Copyright © OMOC 2023. All rights reserved.